TANGAZA NASI

TAARIFA ZA KWAYA

Mwenyekiti wa kwaya ya vijana anawatangazia vijana wote wa usharika kwamba kutakuwa na semina ya Ujana itakayo fanyika kanisani tarehe 20/04/2011.



Kwaya ya vijana inajiandaa na kutengeneza mkanda wa picha ya video, tunaomba mchango wako kufanikisha zoezi hili