TANGAZA NASI

Wednesday, May 25, 2011

MKUTANO MKUBWA WA INJILI NDANI YA VIWANJA VYA KANISA

















KARIBU KWENYE MKUTANO WA INJILI WIKI MBILI MFULULIZO KUANZANIA TAREHE 22. 05 HADI 5. 06. 2011
(katika picha)
Sehemu ya watu wlioudhuria mkutano wa injili kwenye viwanja vya kanisa

Tuesday, May 3, 2011

MATUKIO KATIKA PICHA















         Mtumishi Teddy akifanya maombezi katika moja ya huduma za maombezi zinazofanyika hapa kanisani katikati ya wiki.














       Mtumishi John akifanya maombezi katika moja ya huduma za maombezi zinazofanyika hapa kanisani katikati ya wiki.















         Mtumishi Mercy akifanya maombezi katika moja ya huduma za maombezi zinazofanyika hapa kanisani katikati ya wiki.

Monday, April 25, 2011

NGUVU YA DAMU JUU YA MADHABAHU.





Pata mkanda wa DVD ya semina ya mtumishi wa Mungu Mwl. E. Palangyo kuhusu NGUVU YA DAMU JUU YA MADHABAHU iliyo anza siku ya jumapili 02/04/2011
         fika ofisi ya usharika.

WASANII WA INJILI TANZANIA WASHAURIWA

Wasanii wa muziki wa injili nchini wameshauriwa kuimba njimbo ambazo zitaleta uwepo wa Mungu zaidi.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na mmoja wa wapenzi wa muziki huo ndugu Albert Monyo.
 Monyo anapendelea zaid muziki wa injili wa South Afrika ambapo kwaya maarufu ya Joyous Celebration inapatikana. Anawashayri wasanii wa injili Tanzania waige japo kidogo muziki wa Suth Africa.

Sunday, April 24, 2011

HALELUYA BWANA YESU AMEFUFUKA



















leo ni siku ya furaha kwa wakristo wote ulimwenguni kwa sababu mwokozi wetu Yesu kristo amefufuka ameshinda mauti alama ya ushindi kwa wakristo.

Monday, April 18, 2011

TUNAPOKUMBUKA MATESO YA YESU KRISTO














Hiki ni kipindi ambacho Wakristo woteulimwenguni tunakumbuka matesoya Bwana wetu Yesu Kristo
 Yesu alikufakwa ajili yetu ilituokolewe kutoka kwenye dhambi
                             YESU NI ALPHA NA OMEGA.

NENO LA WIKI 17/04 - 24/04 2011

Kichwa cha Neno:  SIKU YA BWANA YA MWISHO KABLA YA PASAKA

Neno linatoka: Wafilipi 2: 5-11